ANGALIA LIVE NEWS

Friday, May 17, 2013

JE NENO HILI LINATUMIKA IPASAVYO KWA NCHI YETU YA TANZANIA? (UFANISISHAJI) NA MAANA YA NENO HILO

Hii ni moja ya rasilimali za Nchi yetu ya Tanzania na Neno ufanisishaji lingeweza kutumika kwa kuwalenga wananchi wa eneo husika. MaAna ya neno hili usanifishaji ni kutumia rasilimali za jamii kifaida kwa manufaa bora. Kwa kizungu ni OMNIVERSARATISM neno hili limevumbuliwa na Dr Seruwele. Tanzania ina rasilimali nyingi huu ni mfano tu wa rasilimali hizo toa wazo lako juu ya nini kifanyike?
Mtoto kama huyu anatakiwa kuwezeshwa kwa elimu bora na makazi.

Maji safi na mifumo endelevu ya kijamii kwa faida ya vizazi na vizazi kutokana na sehemu hizo zenye rasilimali.

No comments: