Advertisements

Saturday, May 4, 2013

TIMU YA TANZANIA DMV KATIKA MPAMBANO WA DIASPORA WORLD CUP KESHO JUMAPILI


Kesho Jumapili May 5, 2013 

Timu ya waTanzania itajitupa Uwanjani katika mchezo wake wa kwanza fungua dimba na Timu ya Ufaransa Mida ya Saa 3:PM kamili Mchana katika kiwanja cha Roy Lester Stadium.

Anuani: Montgomery High School 
250 Richard Montgomery Dr Rockville, MD 20852 

Wachezaji wote wanaombwa kufika MAPEMA saa 8:30 mchana (2: 30 PM) Juu ya alama mpambano utaanza Saa 9:00 kamili (3:PM sharp)

Watanzania wote DMV tunaomba tufike kwa wingi

No comments: