Kijana Wiliam Daud a.k.a Hassan Idd Lumbanga (jina la kutapeli) mkazi wa Majengo mkoani Katavi akiwa chini ya ulinzi ndani ya msikiti wa Ijumaa -Miyomboni mjini Iringa baada ya kushitukiwa kuwa ni tapeli aliyetaka kumtapeli Imamu wa msikiti huo wa waumini wake leo
Naibu imamu wa masikiti wa Ijumaa - Miyomboni Issa Boki ( kushoto) akiongozana na baadhi ya waumini wa msikiti huo kumweka chini ya ulinzi tapeli huyo (katikati mwenye shati la kijani ambae alitaka kutapeli kiasi cha Tsh 55,200 zilizochangwa na waumini kwa ajili ya kijana huyo kabla ya kubaini kuwa ni tapeli hapa wakimpeleka polisi
1 comment:
Mwana CCM huyo!! anafanya wananvyofanya wazeee, heheeeeeeeeeeee
Post a Comment