ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, June 11, 2013

KIJIWE CHA UGHAIBUNI

Kijiwe 25 from Luke Joe on Vimeo.

7 comments:

Anonymous said...

Ni kweli kabisa hicho kiwanda cha gesi kijengwe hapo hapo Mtwara...Dar ni vurugu mechi tu.

bagasa said...

Benja you killed on Mtwara Saga. You killed on this one bro.

Anonymous said...

Benja umechapia siyo mto Ruvu ni mto Rufiji,, mto ruvu kwani unakwenda Mbeya!!!lol

Anonymous said...

Jabiri unakosea na Benja yupo sahihi kwa sababu kiwanda kikijengwa dar wafanyakazi watakaoajiriwa ni wa dar kwa hiyo wana mtwara hawtapata kazi na badaka yake pipe zitasafirisha gas.Mtwara simama imara hakikisha kuwa kiwanda cha gas kinajengwa mtwara halafu zipelekwe sehemu nyingine.

Anonymous said...

Mi nakubaliana na benja...kwani kila kitu kiendee Dar inamaana pale Dar ndio kuna watu wanaojua kula tuu!mtwara kuna nafasi kubwa na vigezo sasa ukitaka kuona serikali yetu ni yakitapeli baada yakusikiliza wananchi wa lile eneo ambao nao wanataka Kula..lakini wanaona hapana Kule dar ndio kuna watu wanaojua kula vizuri!wanachokifanya watu wa mtwara sawa sawa ....MPIGANAJI

Anonymous said...

wabunge wakiona hii dialogue wanazidi kuogopa kuhusu dual citizenship.

Anonymous said...

Ndiyo maana miji mingine haindelei kwa sababu kama hii,, gas ibakie Mtwara watu wahamie kule mji uongezeke na kupunguza msongamano wa watu Dar,, hawalioni hilo.