ANGALIA LIVE NEWS

Friday, June 14, 2013

MWANAMKE WA KIZUNGU AMBAYE NI KONDA WA DALADALA KENYA HIYO..

Kwa baadhi ya miji mikubwa hapa kwetu Tanzania imeanza kuzoeleka kumkuta mwanamke akiwa amesimama kwenye mlango wa daladala kama konda daladala..haishangazi.....lakini kumkuta mwanamke wa kizungu  kuwa konda wa daladala bila shaka ni ngumu kuamini kidogo sababu tunaamini watu weupe hususani kutoka mataifa ya ulaya ni watu waliobarikiwa kuwa na uwezo kimaisha hivyo inakuwaje kwa mwanamke wa kizungu kuwa konda wa daladala tena ndani ya Africa? Picha hiyo hapo juu ilipigwa maeneo ya kileleshwa nchini kenya ikionesha mdada wa kizungu akiwa  ndani ya daladala a.k.a matatu huku akiwa amevaa uniform wanazovaa makonda yawezakuwa ni kweli ama wazungu hawawezekani kwa vituko ...

No comments: