Kwa mwenye kumbukumbu nzuri, takumbukwa kuwa tuliwahi publish story ya mwanamume aliyerogwa akawa anakula nyasi kama mbuzi kwa kutuhumiwa kuiba, hii ni mpya tena..,siku ya jana tarehe 12june mwanamume mwingine aliyetuhumiwa kuiba viazi amekutwa akila nyasi kama walavyo mbuzi au ng'ombe story iko hivi, mwanamke mmoja ambaye ndiye aliyefanya huo ufundi alimwagiza mwanmume huyo amsaidie kupeleka mzigo huo wa viazi kwa mfanyabiashara mmoja lakini jamaa akaona neema imemwangukia hakufanya kama alivyoagizwa na alipoulizwa na mwenye mzigo akadai mzigo umepotea, alipoombwa avilipe hivyo viazi akakataa kwa madai kuwa yeye hana kosa.
Mama wa watu akaona isiwe taabu akamwambia atafanya vitu vyake baada ya siku sita kuna chochote kitatokea kwa mwizi wake na siku ya sita ikawa imetimia jana ambapo jamaa alikutwa anatafuna nyasi na yule mama aliomba alipwe elfu kumi za kenya lakini ndugu wa mwizi walidai waonewe huruma kwani wao ni maskini hawana uwezo huo na yule mwanamke nae akaendelea kukaza na inasemwa kuwa mwanamume huyo ameshafariki dunia..malipo ya dhambi ni mauti siku zote

No comments:
Post a Comment