Advertisements

Tuesday, June 11, 2013

OMMY DIMPOZ,DIAMOND,RECHO NA ALLY WAPONGEZWA


DMK GLOBAL PROMOTIONS LLC (USA,TZ) CONGRATULATES THESE 4 ARTISTS AND PARTNERS FOR A MAGNIFICENT YEAR AND FOR WINNING THE KILIMANJARO MUSIC AWARDS 2013.IT'S BEEN A GREAT YEAR SO FAR, WE ARE SO PROUD TO HAVE YOU AS OUR BUSINESS PARTNERS AND LOOKING FORWARD TO THIS SUMMER.WE WOULD ALSO LIKE TO TAKE THIS OPPORTUNITY TO THANK THE FANS OF THESE ARTISTS ALL OVER THE WORLD FOR YOUR ONLINE VOTING PARTICIPATION,BASICALLY YOU MADE THIS POSSIBLE AND WE CAN'T WAIT TO BRING THE TOUR TO THE CITY NEAR YOU.STAY TUNED FOR THE DATES AND THE VENUES DETAILS DROPPING SOON ,THANK YOU !!

 OMMY DIMPOZ-MSHINDI VIDEO BORA YA MWAKA,WIMBO BORA BONGO POP NA WIMBO BORA WA KUSHIRIKISHA/KUSHIRIKISHWA .

  DIAMOND- MSANII BORA WA KIUME NA MSANII BORA WA KIUME BONGO FLAVA

    RECHO-MSHINDI MSANII BORA WA KIKE BONGO FLAVA

  ALLY NIPISHE- MSHINDI MSANII BORA WA KIUME ANAYE CHIPUKIA

 

8 comments:

Anonymous said...

DMK ulitufanzia fujooo na Ommy Dimpoz sasa hiyo Visa si itakuwa imeexpire?..Wacha sifa za kijinga and grow up..Unapoahiidi timiza miadi yako.Kama unavyojisifu you deliver what you promise, kusign mikataba na picha unafikiri tumesahau eeh..Naomba jibu pls LINI ANAKUJA OMMY DIMPOZ

yoo said...

Ningeomba Nikujue ilinikujibu vizuri,Kwanini Unajiita anony?Hujiamini au ?.......anyways I always walk the walk not just talk the talk cuz talk is cheap.I don promise what I cant deliver,I know my targets and I do business my own way not your way since i dont even know who you are.Visa ita expire wewe unajua amepewa ya muda gani??Najua hujasahau picha za mikataba mbona bado zipo everywhere.Eti napenda kujisifu sasa nikikwambia anakuja kesho au nikikwambia lini anakuja au akija je uta apologize??Au ndo maana umebaki anony ili nisikujue.Basi jibu Langu Kwako ni mimi sijisifu,I always deliver what i promise,I AM A BUSINESS NOT A BUSINESS MAN..I DONT LIE TO MY CUSTOMERS AND I HOPE YOU WILL BE THE FIRST TO BUY A TICKET......DETAILS DROPPING SOON...Still Love you thou !!

mdau wa dimpoz said...

wacha maneno mengi weweeee na mijisifa isyo na maana.tokea nov unasign mikataba ulituambia anakuja dec, six month later bado tu unasign mikataba? Swali langu ni jeee Ommy Dimpoz anakuja lini? hizo picha kwenye facebook yako umeanza kuzibandika kwa fujo jana. Anyway mpaka sasa haujadeliver so bado nasubiri na nakuomba tujibu kaka..OMMY DIMPOZ DMK INAMLETA LINII?

Anonymous said...

Mdau anataka jibu DMK, Ommy Dimpoz unamleta lini?

Anonymous said...

eti ee tukusaidie kumchangia ticket?

Anonymous said...

@DMK, Usitake kujifanya wewe ndo unajua kushushua wateja wako sana! That was not cool! Huyo Ommy Dimpoz akitua USA utamfungia ndani au utahitaji wateja kulipa na kununua ticket kwenda kumuona? Sasa sielewi kwanini maneno yanakuporomoka kiasi hicho!! Which everyone has the right to ask you when is Ommy Dimpoz coming to the US maana hizo picha za mikataba tumeanza kuziona kabla ya Xmass mpaka leo, it is the right question to ask you as a "promoter", don't you think? as a business then do business and stop being rude to your customers. Thank you. mchana mwema. Na bado hujasema anakuja lini badala yake umejidai kujiba kwa kejeli na makidai!!!!!!!!!

yoo said...

Kwani wewe huoni kama huyo aliyeanza kusema DMK acha misifa ndo aliyeanza kejeli?...au umeona majibu yangu tu?...kwani kama ni swali lingekuwa zuri kama lingeulizwa tu OMMY DIMPOZ ANAKUJA LINI? Sio sijui acha misifa huwezi kudeliver.I love all my customers and value everyone with respect,lakini customer huyo ameni disrespect ingawa mimi nimemjibu "I ALWAYS DELIVER TO MY PROMISES" sasa kama hiyo ni Kejeli na Makidai then excuse me for lack of a better word ......JIBU LA SWALI LAKE NI-COME BACK TO VIJIMAMBO BLOG AND WWW.DMK411.BLOGSPOT.COM SOON FOR DETAILS....and thank you all of you for showing interest on the Hottest Bongo Flava Artist right now...Please endelea kutembelea Vijithings for more infos Sooooooooooooooooooooon!

Anonymous said...

si nilikuambiyeni zamani mtoto huyu dickson anamisifa na kuna wanaume wa design kama yeye bila kujisifu na misifa basi hawana raha kabisa raha yao wakijisifu na watu wakiwapapatikia kwa misifa yake basi wanajisikai vizuri mucheni janai na misifa yake long time nimekuambiyeni jamaa anasifa huyu so tu subiri tu akija sawa asipokuja sawa ndo sifa zake huyu mtoto kafika marekani kaona nyota anashanga shanga