Wednesday, June 12, 2013

REDDS MISS IRINGA 2013 KUFANYIKA IJUMAA TAREHE 14 JUNI 2013

Redds Miss Iringa 2013 wakiwa wamepozi katika Ofisi za Ebony FM
Redds Miss Iringa 2013 wakiwa wamepozi na mbuni wakiwa Mkwawa Magic site
wanyange wa Redds Miss Iringa 2013 wakiwa wamepozi pamoja
Wanyange wa Redds Miss Iringa 2013 wakiwa wamepozi na Mwalimu wao pamoja  Redds Miss 2012 na 1st Runner 2012

1 comment:

Anonymous said...

gwee kila leo ma miss fashion wanazuka na wanapenda kuwapotosha watoto wa kike badala wakasome akheri hata waolewe wajenge maisha yao kulikoni kujionyesha hapa kama vikaragosi