Wednesday, June 12, 2013

UJUMBE KWA WASANII WA BONGO KUTOKA KWA PRODUCER SAMTIMBER

Mtayarishaji wa muziki Tanzania kutoka Tamaduni Music maarufu kama Producer Samtimberameonesha kuelezea kile kinachomkera kutoka kwa baadhi ya wasanii wa hapa bongo kwa kuwa na tabia ya kuwasahau Producers wao ambao ndio wanaowafaya hadi wakatambulika katika jamii 
Samtimber ameeleza hayo kwa kuandika…

“HIP HOP NI UKWELI WA MAMBO I HATE SANA WASANII WASIOTHAMINI MAPRODUCER MSANII ANAKUJA S2DIO ANABEMBELEZA UNAMFANYIA KAZI BURE THEN AKISHATOKA AU KUPATA AIR TIME ANASAHAU PRODUCER.ANAPATA INTERVIWE HATAKI KUSEMA HATA ALIYEMTENGENEZEA WIMBO YAANI PRODUCER NA ANAPIGA PESA HATA SHUKRANI HANA HII INAWAHARIBIA WASANII WENGINE TUWAONE KUWA WOTE WASANII HAWANA MAANA.”

#GongaMx

No comments: