Wednesday, July 17, 2013

HOSPITALI YA TAIFA YA MUHIMBILI YAWEKA REKODI KWA MWAKA 2013.

Wagonjwa wakiwa nje huku wengine wakipata tiba baada ya kutolewa wodini kupisha upuliziaji wa dawa ya kuua wadudu katika majengo ya Kibasila na Mwaisela Hospitali ya Taifa Muhimbili, Dar es Salaam.
 PICHA NA MDAU KHAMIS MUSSA

No comments: