Wednesday, July 17, 2013

"NIMECHOSHWA NA WANAUME MASHAROBARO WA TANZANIA....BORA WA NIGERIA WANAJUA KUPENDA"...REHEMA FABIAN ATIRIRIKA YA KWELI HAYA?


Mlimbwende aliyewahi kung’ara katika Shindano la Miss Kiswahili 2009, Rehema Fabian anadaiwa kuangukia kimapenzi kwa mtoto wa Balozi wa Nigeria nchini China aliyemtaja kwa jina moja la Allen anayetaka kufunga naye ndoa. 
Akichati na mwandishi wetu, kwa njia ya mtandao, Rehema alikiri kuwa na mwanaume huyo ambaye ni mtu mzima na kweli ni mtoto wa balozi huyo.
“Nimechoshwa na masharobaro hivyo nimeamua kutulia na mwanaume huyo kwa sababu nimempenda na yeye anaonekana kunipenda,” aliandika Rehema.
Rehema ambaye kwa muda mrefu amekuwa nchini humo, alisema kwamba amekuwa akipata wanaume wanaomtumia na kumuacha lakini safari hii amepata mtu sahihi. 
“Tumepanga kuja Tanzania kwa ajili ya kukamilisha mipango ya ndoa, hivyo nitarajieni huko muda si mrefu,”aliandika Rehema na kuongeza kwamba atafanya bonge la sherehe.

9 comments:

Anonymous said...

Is this also news? Really? Who cares? Vijimambo you are losing focus by writing this kind of crap.

Anonymous said...

Sorry guys, huyu dada ananuka!

Anonymous said...

Kajipiga mkorogo amekuwa kama zombie.

Anonymous said...

Huyu atakamatwa na madawa ya kulevya sasa hivi.

Anonymous said...

Kwahiyo carrier yake ni kulala na wanaume wa ki-Nigeria?

Anonymous said...

Dada yetu anatoa harufu kali kama vyakula vya kinigeria.

Anonymous said...

DJ Luka come on now.....hii story inafanya nini humu kwenye blog? Kuna story na story ila hiii hapana aisee haina mshiko kabisaaa.

Anonymous said...

Wauza sembe bwana. Yaani wanigeria angewajuwa vizuri naona hata haya anayoyasema asingeyasema bali angeomba radhi tumrudie sie kaka zake.

Anonymous said...

Kazi ya wa-Nigeria ni kuchukua makombo ya Watanzania. Akae huko huko kwa Wanigeria wala hatumtaki kabisa. Alishushwa daraja zamani sana.