Thursday, July 18, 2013

Oprah Winfrey kutembelea Serengeti kwa ziara binafsi

Oprah Winfrey
Mwendeshaji maarufu wa kipindi cha mazungumuzo kwenye Luninga nchini Marekani Oprah Winfrey wiki hii anatarajiwa kukanyaga ardhi ya Tanzania na kutembelea Serengeti kwa ziara binafsi kwa mapumziko ya wiki moja. Ziara hiyo imekuja baada ya ile ya mwanzo ya kwenda Kenya kuahirishwa kutokana na sababu ambazo hazikuwekwa wazi.

Pamoja na kwamba ziara hiyo ni binafsi, Oprah Winfrey anatarajiwa kuwa na mazungumuzo na Naibu Waziri wa Mali Asili na Utalii, Mhe. Lazaro Nyalandu.

No comments: