ANGALIA LIVE NEWS

Friday, July 5, 2013

PATA TASWIRA YA PICHA ZA HARUSI YA BIUBWA NA MASOUD ILIYOFANYIKA UKO CHELSEA BOSTON.

Masoud Abdullatil na Biubwa Mahfoudh wafunga ndoa uko Chelsea Boston hapa Biubwa na Masoud wakipata ukodak na uku wakiwa wameshika cheti chao cha ndoa.
Masoud na Biubwa wakiwa zero distance mapenzi moto moto
Biubwa akipata ukodak
Ndugu wa Biubwa akipata ukodak na bi harusi
Ukodak wa kumbukumbu
Kwa picha zaidi za harusi hiyo ya Biubwa na Masoud bofya read more

3 comments:

Anonymous said...

Naomba kufahamishwa si kwa ubaya kwa yoyote anayemfahamu huyu Bi.Harusi kama baba yake mzazi ni MWINYI MAHFOUDH ambaye alikuwa mchezaji wa timu ya jeshi(JWTZ 95KJ) au namfananisha na anatokea Zanzibar..!!!? Nitashukuru kama nitajibiwa baada ya kurusha hili swali kwa wadau

Anonymous said...

Ndie huyo baba ni MWINYI MAHFOUDH hujakosea na anatoka huko Zanzibar Island. kwani vipi? mbona swali limekuja kama muulizaji kapanic.. au umeshtuka kumuona hapa? ndie huyo bibie Biubwa Mwinyi Mahfoudh.

Anonymous said...

ndie huyo hujakosea,