ANGALIA LIVE NEWS

Friday, July 5, 2013

WADAU WA CALIFORNIA NDANI YA NYUMBA TAYARI KWA TAMASHA LA UTAMADUNI WA KISWAHILI NA SHEREHE YA MIAKA 3 YA VIJIMAMBO

 Mdau Walter Minja( kushoto) akiwa na wadau wengine kutoka California Aneth Bell na Yassin Kapuya (kulia)
 Aneth Bell akiwa nje ya uwanja wa kimataifa wa Dulles uliopo Sterling Virginia.
Yassin Kapuya katika picha ya pamoja na Aneth Bell

No comments: