Advertisements

Wednesday, July 17, 2013

WALIMU WA KISWAHILI DMV WAJINOA BLOOMINGTON, INDIANA

Walimu wa darasa la kiswahili DMV wakiwa Chuo Kikuu cha Indiana kilichopo mji wa Bloomington,  wakijinoa chini ya program ya  Swahili Startalk Development Workship iliyoo chini ya National Council of Less Commonly Taought Languages ambayo huchukua wiki 3 kwenye picha juu toka kushoto ni Asha Nyang'anyi, Bernadetta Kaiza na Asteria Hyera katika picha ya pamoja walipokua Indiana Memorial Union
 Kutoka kushoto ni Bernadetta Kaiza, Asha Nyang'anyi na Asteria Hyera katika picha ya pamoja

4 comments:

Anonymous said...

HONGERA AKINA, DADA MSAMBAZE MISAMIATI HUKU UGHAIBUNI.

Anonymous said...

All da best wadada, kazeni buti, safi sana juhudi zenu

Anonymous said...

Jamani kwanini msianzishe darasa la KINGEREZA kwasababu watu wengi hapa DMV wakiongea you feel so BAD/ASHAMED FOR THEM.darasa la watu wazima

Anonymous said...

AHSANTE TENA SANA