Kampuni ya Clouds Media Group mwishoni mwa wiki iliandaa Ftari ya pamoja kwa wafanyakazi wake na baadhi ya wadau mbalimbali,maeneo ya Sinza-jijini Dar Salaam.Pichani kushoto ni Mkurugenzi wa vipindi na utafiti,Ruge Mutahaba pamoja na Meneja Vipi wa Clouds FM Sebastian Maganga wakiongoza wageni waalikwa mbalimbali kupata ftari.Pichani chini ni baadhi ya wafanyakazi wa kampuni hiyo na wadau wengine waalikwa wakijipakulia ftari safi kabisa.
Sehemu ya Wadau wakiendelea kupata ftari.Picha kwa hisani ya Jiachie Blog.
No comments:
Post a Comment