ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, August 22, 2013

Fid Q kaileta tena Poetry Addiction



Poetry Addiction au Uraibu wa ushairi unaweza kutumia lugha ya kiswahili kama ukipenda. Mara ya kwanza ilifanyika pale Triniti ikiwahusisha wasanii kama Damian Soul,Wakazi,Chidy Benz,Fid Q mwenyewe na wengine. Fareed Kubanda ametangaza ujio mwingine wa Poetry Addiction ambayo itafanyika 31 mwezi wa huu(8) palepale Triniti Oysterbay. This time kutakuwa na wasanii kama Fena Gitu a.k.a Fenamenal kutoka Kenya,Avid,Cliff Mitindo,Henry The 1st,Lufuz,Masharkanz,Damian Soul,Fid Q mwenye na kuwa hosted by Ncha Kali. Time ni saa mbili hadi saa saba usiku kwa kiingilio cha Tsh 10,000.

No comments: