SUPER D |
Mpambano huo utakaowausisha mabondia kutoka Dar es salaam na wa Muheza, Mbena Rajabu wa Dar atakaeoneshana kazi na Jumanne Mohamedi mpambano wa raundi sita huku George Allan wa Muheza ataoneshana ubabe na Muhamed Meme wa Tanga
na mapambano mengine mengi ya kukata na shoka uku kukiwa na burudani ya muziki alitaja kiingilio kwa siku hiyo kwa kuwa tunaitaji kila mtu aje kushudia mchezo wa ngumi kwani ni nafasi ya pekee tuliyoipata kingilio kitakuwa ni 2000,kwa 1000,
ili watu waweze kuangalia ulinzi ni wa uwakika mchezo uho utakaosimamiwa na Oganaizeshani ya ngumi za Kulipwa nchini TPBO umereta faraja kwa wakazi wa muheza kwani wana kiu kubwa ya kuangalia mchezo huo wa masumbwi unaopenda na watu wengi
No comments:
Post a Comment