Juu na chini ni Padri John Jack Kennealy akiwafungisha ndoa Mzee Safari Ohumay na mkewe Maria waliosindikizwa na wapambe wao, Sue na mumewe Walter Madigasky katika kanisa la Mt. Nicholas lililopo Laurel, Maryland barabara ya Contee siku ya Jumatatu Aug 5, 2013. Mzee Safari na mkewe Maria walishafunga ndoa mahakamani mwaka 2008.
Mzee Safari na mkewe Maria katika picha ya pamoja na wapambe wao Sue na mumewe Walter Madigasky.
Mzee Safari akivisha pete mkewe Maria huku mpambe wa Bi harusi Sue Madigasky akishuhudia.
Bi harusi Maria akivisha pete mumewe.
Padri John Jack Kennealy akisoma somo
Mpambe wa Bi harusi Sue Madigasky akisoma somo la kwanza.
Flavia Mwombela akisoma somo la pili.
Bwn na Bibi Ohumay katika picha ya pamoja na Padri John Jack Kennealy baada ya misa ya ndoa kumalizika.
Bwn. na Bibi harusi katika picha ya pamoja na wapambe wao.
Bwn. na Bibi harusi katika picha ya pamoja na ndugu, jamaa na marafiki.
Bwn. na Bibi harusi wakipata chakula na ndugu, jamaa na marafiki waliohudhuria harusi yao.
kwa picha zaidi bofya read more
Bwn. na Bibi harusi katika picha ya pamoja na mtoto wao Shawna.
No comments:
Post a Comment