Jumuiya ya Springfield, Massachusetts ilifanya Iftar kwa ajili ya wanaJumuiya na marafiki zao siku ya Jumamosi Aug 3, 2013 Springfield, MA na kuhudhuriwa na Watanzania na marafiki zao wengine wakitokea vitongoji vya jirani. Iftar hufanyika mara moja kila mwaka udani ya mfungo wa Ramadhani
Hapa ni mkuu wa wilaya ya Springfield Bwn Kibodya akiwa na mgeni mualikwa katika Iftar hiyo shekh Mafta kutoka New York. |
Kati ni Mke wa mkuu wa wilaya Bwn Kibodya akipata ukodak na marafiki zake
Akina mama na watoto wakipata Futari
Watoto wakipata ukodak
Mambo ya maanjumanti ya Iftar
No comments:
Post a Comment