Jeshi la polisi kanda ya Dar es Salaam linadaiwa kumtia mbaroni msanii anaetuhumiwa kupiga picha chafu na wanawake mchanganyiko wakiwema mamiss maarufu na baadae kusambaza kwenye mitandao yote ya kijamii pamoja na kuripotiwa kwenye magazeti mbalimbali
Mwandishi wetu amefanikwa kuzinasa picha za Manaiki akiwa chini ya ulinzi wa polisi huku akiwa amevishwa pingu na kurukishwa kichurachura.
2 comments:
Huyu mtu haja resist arrest na ame -comply with police order. Ligally, he remains innocent until proven guilty at the court of law. Siungi mkono hata kidogi makosa aliyofanya. Lakini nauliza Kwa nini anrukiswa kichura?
Mngewatiaa mbaroni na hao wasichana vile vile Maaana na wao walikubali kushiriki katika picha Hizo chafuuu za ngono na za uchi bila kuheshimu maadili na bila kujiheshimu wao Kama wana wake!!!!!!! Kwanini walikubali? Kama walishikwa kwa nguvuuuu kwa nini hawaja repoti???? Wanawake hao walipenda kufanya wa hivyoooooo iLi wapate Kiki/ umaharufu sasa matokeo yake wamedhalilishwa katika mitandao!!!!!! Loooooh aibu aibu tena kubwaaa sana! Man rushes kichura ya nini? Warusheni kichura hao mamburulaz Wakike pia! Mwanamke kujisitiri sasa hao wametaka Kiki!
Post a Comment