ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, September 24, 2013

AAR YATOA HUDUMA YA AFYA KWA WASHIRIKI WA BSS 2013

 AAR Healthcare wakiwa na washiriki wa BSS 2013
 Afisa Mahusiano wa AAR HealthCare Amisa Juma akiwapa mafunzo washiriki wa BSS 2013 kuhusu afya zao ,kuchoto ni Bi, Fatma Omary, Maina Thadei na Amina Chibaba
 Dactari Richard kutoka AAR akitoa kipimo cha BMI kwa mmoja ya washiriki wa BSS 2013 kambini mbezi Dar-es-salaam.
 Dr. Bamuhimbisa Richard kutoka AAR Healthcare akitoa mafunzo kwa washiriki wa BSS 2013 ya jinsi ya kuishi maisha bora kwa kuwa waangalifu na afya zao,walipokua kwenye kambi yao Mbezi Beach
 Mshiriki wa BSS Elizabeth Mwakijambile akiongea na waandishi wa habari baada ya kupata vipimo vya afya kutoka AAR walipoenda kutembelewa kambini kwao Mbezi.
 Muuguzi Salome Mkilima kutoka AAR akimpima BP mshiriki wa BSS 2013 kambini Mbezi Beach Dar-es-salaam
Washiriki wa Bongo Star Search wakipata vipimo vya BMI na BP kabla ya kupanda jukwaani.

No comments: