ANGALIA LIVE NEWS

Friday, September 27, 2013

AMWACHIA MGONI WAKE BAADA YA KUMFUMANIA

Tukio hili limetokea leo asubuhi mida ya saa 8.00,katika mji wa Iringa maeneo ya mwangata paparazzi wetu alifanikiwa kulinasa hili tukio.

Jamaa mmoja jina halikuweza kupatikana amemfumania mkewe gesti baada ya kumfumania alichokifanya ni kumruhusu yule mwanaume aliyemfuma na mke wake nakusema jamaa hana kosa mwenye kosa ni mke wake.

Jamaa akazidi kufunguka nakusema mke wake alitakiwa kukataa alipotongozwa moja kwa moja mke wangu ndiye mwenye makosa huyu mgoni hana kosa kabisa.Kilichofuata baada ya hapo alimpa kichapo kikali kama unavyoona kwenye picha.

Mwisho wa siku akambeba na kurudi naye nyumbani maeneo ya mwembetogwa ili kumfungashia mizigo yake na kumrudisha kwa wazazi wake.

3 comments:

Anonymous said...

Hii siyo haki hata kidogo ni abuse! kama unamuacha muache, lakini kumpiga mwanamke sababu ame cheat is wrong, jiulize kwa nini ameamua kucheat? labda humtunzi au humtoshelezi umeshajiuliza hilo? wanaume msipende kuchukua hatua mikononi. maybe you didn't deserve her to begin with! dumb ass!

Anonymous said...

Wanawake kizazi kipya nao ni wahuni kama wananume halafu kwanini hupenda kusingizia kutoshelezwa? kwenye ndoa mkioana ni kufa na kuzikana inabidi urizike na mwenza wako. iwapo kuna matatizo mnatatua sio kucheat

Sikubaliani na jamaa kumpiga mkewe lakini pia sikubaliani na maoni yako kujustfy cheating inaonekana na wewe ni cheater na hii inatokana na nyie wanawake kutoenzi mfumo wa zamani mnalala na wanaume mbalimbali idadi kujaza bus zima ukija olewa yule aliyekuoa hana mapigo kama ya wale waliokutumia na kukuongea mileage

Mwanamke alikuwa na hamu ya kucheat tu ile hamu ya infidelity alichotakiwa kama hariziki na jamaa ni kuomba taraka sio kucheat

Anonymous said...

I agree with you mdau hapo juu,huyu mbwa anatakiwa kushtakiwa, kucheat ni uamuzi wa mtu, this shows one way or another there something that not into you..dumb dumb. .