ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, September 17, 2013

KIJIWE CHA UGHAIBUNI

4 comments:

Anonymous said...

Unajua nimefurahi sana kuona mjadala huu mmeujadili lakini wengine hapa walikuwa wanavutia kamba kutetea uongozi wao. BUT THE TRUTH REMAIN THE SAME MAANA VIDEO TUMEIONA, THIS IS THE PROBLEM YA CHADEMA. MAANA NAONA CHADEMA HAPA WANAMTETEA MBOWE. KAKA MMOJA AMESEMA VIZURI SANA KUWA TUANGALIE VYANZO VYA HIZI FUJO. IT DOES NOT MATTER KAMA MBOWE NI KIONGOZI WA UPINZANI OR NOT BUT HE SHOULD HAVE RESPECTED MHESHIMIWA MREMA AONGEE THEN AJE NA OBJECTION YAKE. INGEKUWA DHARAU SANA KWA NAIBU SPIKA KUONGEA HALAFU YEYE ANATAKA AMAKATE KUONGEA. HATA SHULENI VIDUDU KILA MTU ANASIMAMA KWENYE MSTARI ASUBIRI MSTARINI. NA HAWA KINA SUGU NA WAO WAKAENDA KUZUIA POLISI KUMTOA MBOWE KIHESHIMA SO THAT IS WHAT THEY HAD TO DO TO USE FORCE TO BREAK THE BLOCKAGE YA WATU WALIOKUWA WANAMKINGA MBOWE. MBOWE ALICHOKIFANYA AMEJIVUNJIA HADHI YAKE KAMA ANGEKAA NA KUSUBIRI ZAMU YAKE AONGEE TUNGEMSIKILIZA NA KUMHESHIMU ZAIDI. YOOOTE MNAYOSEMA NI SAHIHI KABISA LAKINI ANGESUBIRI ZAMU YAKE NINGEMLAUMU NDUNGAI KAMA ANGEMKATALIA MBOWE KUONGEA KABISA NA KUMTOA NJE. PLEASE PEOPLE KURA ZILIPIGWA KIDEMOKRASIA KUAMUA KUENDELEA NA MUSWADA AU NOT NA UKAPITISHWA MUSWADA UENDELEEEE! SO MBOWE ANGETAFUTA UTARATIBU WA EXPRESS HIS CONCERN NA UTARATIBU UPO!!!!! WENGINE HAPA MUACHE KUONGE PERSONAL ISSUE ANGALIA VIDEO AGAIN AND MAKE FAIR ANALYSIS. ALWAYS BE WISE. CHADEMA NI CHAMA KIZURI BUT KINAJIENDESHA KWA PUPA NA HARAKA SHERIA ZIPO KAMA KULIKUWA NA ISSUES KUHUSU MUSWADA HUU WA KATIBA KUNA TARATIBU ZA KUFUATA NOT TO KAIDI AMRI YA SPIKA. Bila ya kulaumu please be specific hivyo vipengele mnavyodai CCM wamebadilisha maana wengine hatuvijui na kama ni kweli WANASHERIA MKO WAPI KUINGILIA HII ISSUE. PLEASE PUT IT IN BULLET POINT INAWEZEKANA NI MTU KAANZISHA UZUSHI USIO NA UKWELI. NAOMBA MTUPE VIPENGELE VILIVYOPITISHWA NA WARIOBA NA TIMU YAKE NA JINSI GANI YAMEBADILISHWA. Maana kila mtu anaongea BUT NO SPECIFICS!!!!!!

Anonymous said...

Please jamani nyinyi kina kaka ARE YOU ALL SERIOUS????KAMA KWELI MNAYOYASEMA NI KWELI HEMBU MTAFUTENI HUYO MBOWE AWAPE LIST YA HAYO YANAYODAIWA KUBADILISHWA NA CCM? AU MSHAURINI AITE WAANDISHI WA HABARI ATUPE SHULE YA HAYO YALIYOPITISHWA KINYUME CHA UTARATIBU, DO YOU ALL HAVE DETAILS YA HAYO YALIYOBADILISHWA?

Anonymous said...

All I can say, dogo LIBE unatisha!!!

Anonymous said...

Ukweli huyo sugu ana makosa anatakiwa kufuata utaratibu na sharia za bunge. Hapo si kijiweni ni mahala pa heshima kama anavyowakilisha pia Spika anawakilisha serikali ambyo ni ya watu wengi na Demokrasi ni wengi wape sasa kama unahitaji kubadilisha kitu basi anza ushawishi wako kwa wengi kasha badilisha unachotaka kubadilisha CCM inawakilisha uma mkubwa wa watu mnatakiwa kujua hilo sasa CCM ndiyo yenye demokrasi maana ina uma mkubwa na Uma ndio unaotaka wanayoyafanya Think and the talk.