Wakazi wa kijiji cha Wigelekelo kata ya Masela wakimpokea Katibu Mkuu wa
CCM Taifa Ndugu Abdulrahman Kinana alipowasili kwenye mkoa huo ikiwa
sehemu ya ziara yake inayoanza leo wilaya ya Maswa mkoani Simiyu.
Katibu Mkuu Ndugu Abdulrahman Kinana akiwasalimu wakazi wa kata ya Isanga baada ya kuzindua shina la Muungano.
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akishiriki kuchanganya mchanga kwa ajili ya kufyatulia matofali kwa ajili ya ujenzi wa zahanati ya kijiji cha N'hami wilaya ya Maswa mkoani Simiyu.
kwa picha zaidi bofya soma zaidi
Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akishiriki kufyatua matofali pamoja na Katibu wa Itikadi na Uenezi Nape Nnauye kwa ajili ya ujenzi wa kijiji cha N'hami wilaya ya Maswa mkoa wa Simiyu.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akifyatua tofali kwa ajili ya ujenzi wa Zahanati ya N'humi,wilaya ya Maswa.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akibeba tofali kushiriki na fundi kujenga zahanati ya kijiji cha N'humi wilaya ya Maswa mkoani Simiyu.
Zahanati ya kijiji cha N'humi kama inavyoonekana picha, ujenzi bado unaendelea.
Balozi wa Shina la Kumalija namba 2 lililoanzishwa mwaka 1983 kata ya
Nyakikungu Mzee Elias Sai akimkaribisha Katibu Mkuuwa CCM Ndugu
Abdulrahman Kinana katika Shina lake ,wilaya ya Maswa mkoa wa Simiyu.
Katibu Mkuu wa CCM ndugu Abdulrahman Kinana akiwakwenye picha ya pamoja
na wanachama wa shina la Kumalija namba 2 kata ya Nyakikungu baada ya
Katibu Mkuu kuwatembelea kwenye shina hilo.
Katibu Mkuu wa CCM akibadilisha mawazo na balozi wa Shina namba 2 la Kumalija kata ya Nyakikungu Mzee Elias Sai na mwanachama wa shina hilo.
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akibadilishana mawazo na vijana wa shina la Ndilizu ambalo kihistoria limeanza mwaka 1977.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza na bibi Helena Makeja
ambaye ni mke wa Muasisi wa Shina la Ndilizu marehemu Ndilizu , Katibu
Mkuu ameanza ziara yake katika wilaya ya Maswa mkoani Simiyu.
No comments:
Post a Comment