Tutaendelea kuwa wasindikizaji hadi lini jamani. Matawi tunafungua lakini kura hatupigi na wala ushauri wa maana hatuna kwa hao viongozi wetu na hasa huko bungeni kunakotupwa ngumi!!Lengo la haya matawi huku ughaibuni ni nini hasa na faid yake ni ipi???? Tusinidanganye kwanza kabisa tulioko huku ughaibuni hatujui hatima ya baadaye na wengi ndio kabisaa kila leo tunatafuta makara.. Ushabiki tupunguze..
4 comments:
Kichekesho. Munazindua matawi wakati wengi wetu hata si raia tena wa Tanzania.
Tutaendelea kuwa wasindikizaji hadi lini jamani. Matawi tunafungua lakini kura hatupigi na wala ushauri wa maana hatuna kwa hao viongozi wetu na hasa huko bungeni kunakotupwa ngumi!!Lengo la haya matawi huku ughaibuni ni nini hasa na faid yake ni ipi???? Tusinidanganye kwanza kabisa tulioko huku ughaibuni hatujui hatima ya baadaye na wengi ndio kabisaa kila leo tunatafuta makara.. Ushabiki tupunguze..
Watu wanaotoa comment hapa hawana shughuli za kufanya.
Na wewe ni mmoja kati ya wasio na shughuli za kufanya. Just like myself.
Post a Comment