Floyd Mayweather akishangilia ushindi baada ya kumtwanga mpinzani wake kutoka Mexico, Saul Alvarez kwa pointi.
BONDIA Floyd Mayweather amemchapa mpinzani wake kutoka nchini Mexico, Saul Alvarez kwa pointi. Mpambano huo uliokuwa wa raundi 12 ulipigwa jijini Las Vegas nchini Marekani na Mayweather alishinda kwa pointi 120 wakati mpinzani wake akiambulia pointi 108. Matokeo katika mpambano huo yalikuwa hivi:
Mayweather | Round | Alvarez |
---|---|---|
10 | 1 | 9 |
10 | 2 | 9 |
10 | 3 | 9 |
10 | 4 | 9 |
10 | 5 | 9 |
10 | 6 | 9 |
10 | 7 | 9 |
10 | 8 | 9 |
10 | 9 | 9 |
10 | 10 | 9 |
10 | 11 | 9 |
10 | 12 | 9 |
120 | Total | 108 |
1 comment:
The points were not true!!!
Those points are from ESPN analysis. Check your facts and correct them.
Post a Comment