ANGALIA LIVE NEWS

Friday, September 13, 2013

MHE. MWIGULU NCHEMBA ATUA JIJI LA WAJANJA OAKLAND -CALIFORNIA. USIKOSE KESHO UZINDUZI WA TAWI

 Mhe. Mwigulu Nchemba (suti nyeusi) akilakiwa na wenyeji wake Loveness M (mwenyekiti mstaafu DMV, Erick B (Katibu Shina California) na Ester N (Mweka Hazina Shina California). Mhe. Nchaemba amekuja rasmi kufungua tawi la jimbo la California kesho Jumamosi ya Septemba 14.

4 comments:

Vijimambo West said...

Dam kumbe kweli nilizani mnatudanganya. Hivi nyi California mko vipi ? Naona kazi inafanyika kweli kweli. Pongezi zetu tunakuja kesho mambo ya bure bure

Anonymous said...

Heeeee Huyu dada wa DC si alishajiuzuru? Sasa mbona bado anajipachikachika tu!mmh

Anonymous said...

ndugu watanzania nauliza swali kuhusu haya mambo ya kufungua matawi ya vyama vya siasa huku marekani na nchi nyingine. inakuwa vipi hawa watu wanaojiita wana CCM au CHADEMA na vyama vingine. Asilimia 90%
ya hawa viongozi sio tena raia wa tanzani ni aidha ni wamarekani au raia wa nchi nyingine, Inakuwaje hawa viongozi wa hivi vyama wanakuja kufungua matawi ya hivi vyama wakati wanajua ni uvunjaji wa sheria walizitunga wao wenyewe wakati wanajua nchi kama tanzania haikubali uraia wa nchi mbili . kama inaruhusiwa mimi ni mkenya naweza kufungua tawi la CCM, CHADEMA AU CUF kokote hapa duniani?

Anonymous said...

Good point anonymous wa pili,hivi kweli inakuwaje hawa viongozi wa hivi chama ni raia wa Marekani halafu wanachaguliwa kuongoza hivi vyama. Au tayari uraia pacha umeshaanza na sisi raia wa Switzeland tuanze kufungua matawi ya vyama hapa Marekani.