MWIGULU NCHEMBA KUONGEA NA WATANZANIA DMV, MIRAGE HALL
Adress ni 1401 Universirty Blvd Hyattsville, MD 20783
19 comments:
Anonymous
said...
JAMANI TUNATAKA KUKUTANA NA VIONGOZI WA SERIKALI YETU KWANI WENGI WETU HAPA DMV SI WASHABIKI WA VYAMA VYA SIASA. THIS IS LIKE A GAME NOW HERE IN DMV KWA USHABIKI NA MAKUNDI YA WATU KUFUATANA NA ITIKADI ZAO. TUNATAKA TUWE KAMA ZAMANI SISI NI WATANZANIA WALA HAYA MAMBO YA VYAMA HAYATUSAIDII MAANA VYAMA VYOTE HAVITURUHUSU KUPIGA KURA SO WHY WASTE OUR TIME?????? WE NEED TO MEET NA SERIKALI INAYOENDESHA NCHI ILI TUWAELEZE MADUKUDUKU YETU NA MATATIZO YANAYOTUKUMBA SISI WAKA WATANZANIA NA SI KAMA CCM WALA CHADEMA. YAANI ANGALIA FOR THE LAST 2 YEARS IMEKUWA NI USHABIKI WA KUFUNGUA MATAWI NA KUPOTEZA PESA KUNYWA NA KUPARTY FOR VYAMA HIZO HELA SI BORA TUNGESIPELEKA BONGO KUCHIMBA VYOO MASHULENI WATOTO WANAOJISAIDIA PORINI KUHATARISHA USALAMA WA WATU AU MADAWATI ILI WATOTO WETU WAKETI NA KUSOMA KWA NAFASI. ITS TIME TO WAKE-UP AND START DOING SOMETHING POSITIVE FOR OUR SOCIETIES. VYAMA VYOTE VIMESIKIA KUWA WATU WANAJITOLEA KUFUNDISHA KISWAHILI KWA WATOTO WA KITANZANIA, WAZAZI WAMEKUWA WAKIJITOLEA KUNUA CHOKI, NA VITU VINGINE ILI LUGHA YETU IENDLEZWE KWA TAIFA LETU LA KESHO HAKUNA CCM WALA CHADEMA ALIYELETA CHOKI AU KUONYESHA INTEREST YA KUJUA NI VIPI MTASAIDIA ILI SHULE HII YA LUGHA NA UTAMADUNI WETU IENDELEE BILA VIPINGAMIZI VYOVYOTE KILA SIKU NI MIKUTANO YA VYAMA AMBAVYO SIJAONA MATUNDA YAKE KWENYE JAMII. LET US PUT OUR EFFORTS ON THINGS THAT MATTERS TO OUT SOCIETIES AND WE SEE POSITIVE OUTCOME. MZALENDO, MTANZANIA. USA
Tunakujuwa kwa kulalamika kwani umebiwa ni mkutano wa ccm peke yake ni watanzania wote popote walipo wacheni ujinga njoo msikilize na mtoe maoni yenu na mulize maswali kwani ukiuliza swali ni itakuwa pia umechangia maendeleo ya watanzania kuliko kulalika
Kama ni kiongozi wa serikali kwa nini CCM ndiyo inaalika watanzania?? Miaka yote Ubalozi ndiyo umekuwa ukialika watanzania kuonana na viongozi wa serikali. ANAKUJA KUONGEA KAMA KIONGOZI WA CCM??? AU KIONGOZI WA SERIKALI?? KOTE ALIKOPITA AMEFUNGUA MATAWI YA CCM. ISSUE NI KUWA WATU WENGI HAWANA INTEREST NA MIKUTANO YA VYAMA BALI WANAHAMU YA KUKUTANA NA VIONGOZI WA SERIKALI WATAKAOKUJA WAMEVAA NGUO ZA KISERIKALI NA SI NGUO ZA KIJANI WALA GWANDA LA KAKI NA KUTUSIKILIZA KAMA WATANZANIA NA SI KUSIKILIZA ISSUE ZA CHAMA KIMOJA
Heko umeongea kaka... Daima hatutaendelea hatupendi kubadilika.. ushabiki wa vyama hapa marekani unakusaidiaje wewe MTanzania? Tawi la CCM/ Chadema ? Linakusaidia nini kama siyo ushabiki ? Wote tunafahamu matatizo ya nyumbani sijasikia hawa viongozi wakiomba michango ya madawati... Mbona hatuoni WaKenya wakifungua matawi ya vyama? Wanakatiba mpya wenzetu tena inayomwakilisha kilaMKenya... Subirini usanii wa CCM wanaandika katiba yao kuhakikisha hawang'oki bila ya damu kumwagika Tanzania... Ndiyo CCM wanaipeleka nchi kuzimu... Tuache ubinafsi watu wanashida nyumbani na sisi tuko mbele tunajua nchi inatakiwa kuendeshwa vipi si kisanii kama serikali ya CCM:(... Mungu Ibariki Tanzania .
Nimesha hudhuria mikutano miwili na Raisi mwenyewe maswali lazima yatangulizwe kabla ya mkutano na yanachujwa. Maswali tumesha uliza sana vileo tumesha toa mambo ni yale yale.
I agree with the first guy, what are all these political party branches for? Do you really gain anything from it if living in UK or USA? Tuwe wakweli jamani haya maparty hayasaidii lolote. Ilani ya Uchaguzi ya 2010 CCM, inakusaidia nini wewe uliye Marekani? Anyway if you have the resources and time, go for it, definitely not my cup of tea, I have other things to worry about.
Wana DMV karibuni katika ufunguzi wa tawi letu la Republicans kule Sengerema, Mwanza, Tanzania. Baada ya hapo tutafungua matawi mengine kule Somalia, Angola, Benin, Congo n.k..
hebu wtanzania tuamke.kwenye huu usingizi mm.nauita.wa ujinga.aHivi hayo matawi yanawasaidia nn kama sio upotezaji wa nguvu na pesa ambazo vyote hivyo vingrtumika.kusaidia kule nyumbani.ambako watu wanahitaji the most!!!!!!Hebu wacheni ussanii nchi inateketea kws upuuzi wa.watu wachache ambao ni greedy wenye kujali maslahi yao wenyewe na sio waliowapigia kura!!!!
Haaaaa aaaah na CUF Nao?????? DMV MWAKA HUU WETU NA VYAMA VYA SIASA. INGEKUWA KILA MWANA DMV ANA MOYO KAMA HUU TUKACHANGA HATA $10 TUNGEJAZA MADAWATI KWENYE SHULE WATOTO WANAKAA CHINI HUKO BONGO AU TUKASPONSOR WATOTO YATIMA KWENDA SEKONDARI!! MWEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE
Mimi naungana na Mh. hapo juu. Jamani kama ni kweli tunauchungu na nchi yetu basi ingekuwa vizuri tuungane tuweze kuanzisha chama cha kusaidia kuboresha maisha ya wadogo zetu walio shule ya msingi kama kupeleka madawati, vifaa vya michezo, computer zilizotumika ili waweze kujifunza na kupata elimu bora. Nadhani ili litakuwa jambo la msingi zaidi.
Wajibu wetu sio kukusanya pesa kusaidia shule na hospitali bali ni kuishinikiza serikali kuona kwamba pesa zinazotengwa kwa kila taasisi zinatumika kama zinavyotakiwa. Kwanini tutegemee misaada na michango Kila siku kuendesha serikali....haya ndio mambo hawa viongozi wanatakiwa kutueleza badala ya kuwapotezea watu muda kufungua matawi.
Kule Canada kuna movement ya saidia Zanzibar! Sisi wabara bado tumejawa na ubinafsi na uzumbukuku wa vyama! Kuna haja gani ya kuongea na Mwigulu wakati Rais alikuwa hapa wiki iliyopita lakini hatukuitwa kuongea nae? Kuongea si vibaya lakini Mwigulu si saizi yetu! Tunamaswali muhimu ya ujenzi wa katiba mpya, matumizi mabaya ya rasilimali za umma , wizi , mustakbali wetu wa uraia wa nchi mbili tungependa kupatiwa majibu na Rais siyo Mwigulu: ( Rais alifika ubalozini kupiga picha na watu! Jamani hatuna celebrities wa kutosha bongo mpaka tupige picha na Rais?
19 comments:
JAMANI TUNATAKA KUKUTANA NA VIONGOZI WA SERIKALI YETU KWANI WENGI WETU HAPA DMV SI WASHABIKI WA VYAMA VYA SIASA. THIS IS LIKE A GAME NOW HERE IN DMV KWA USHABIKI NA MAKUNDI YA WATU KUFUATANA NA ITIKADI ZAO. TUNATAKA TUWE KAMA ZAMANI SISI NI WATANZANIA WALA HAYA MAMBO YA VYAMA HAYATUSAIDII MAANA VYAMA VYOTE HAVITURUHUSU KUPIGA KURA SO WHY WASTE OUR TIME?????? WE NEED TO MEET NA SERIKALI INAYOENDESHA NCHI ILI TUWAELEZE MADUKUDUKU YETU NA MATATIZO YANAYOTUKUMBA SISI WAKA WATANZANIA NA SI KAMA CCM WALA CHADEMA. YAANI ANGALIA FOR THE LAST 2 YEARS IMEKUWA NI USHABIKI WA KUFUNGUA MATAWI NA KUPOTEZA PESA KUNYWA NA KUPARTY FOR VYAMA HIZO HELA SI BORA TUNGESIPELEKA BONGO KUCHIMBA VYOO MASHULENI WATOTO WANAOJISAIDIA PORINI KUHATARISHA USALAMA WA WATU AU MADAWATI ILI WATOTO WETU WAKETI NA KUSOMA KWA NAFASI. ITS TIME TO WAKE-UP AND START DOING SOMETHING POSITIVE FOR OUR SOCIETIES.
VYAMA VYOTE VIMESIKIA KUWA WATU WANAJITOLEA KUFUNDISHA KISWAHILI KWA WATOTO WA KITANZANIA, WAZAZI WAMEKUWA WAKIJITOLEA KUNUA CHOKI, NA VITU VINGINE ILI LUGHA YETU IENDLEZWE KWA TAIFA LETU LA KESHO HAKUNA CCM WALA CHADEMA ALIYELETA CHOKI AU KUONYESHA INTEREST YA KUJUA NI VIPI MTASAIDIA ILI SHULE HII YA LUGHA NA UTAMADUNI WETU IENDELEE BILA VIPINGAMIZI VYOVYOTE KILA SIKU NI MIKUTANO YA VYAMA AMBAVYO SIJAONA MATUNDA YAKE KWENYE JAMII. LET US PUT OUR EFFORTS ON THINGS THAT MATTERS TO OUT SOCIETIES AND WE SEE POSITIVE OUTCOME.
MZALENDO, MTANZANIA. USA
Kutakuwa na wali?
Wewe umafurahisha sana huyu ni kiongozi wa serekali njoo umpe maswali na pia ujuwe maana ya why matawi yanafunguliwa
Tunakujuwa kwa kulalamika kwani umebiwa ni mkutano wa ccm peke yake ni watanzania wote popote walipo wacheni ujinga njoo msikilize na mtoe maoni yenu na mulize maswali kwani ukiuliza swali ni itakuwa pia umechangia maendeleo ya watanzania kuliko kulalika
Kama ni kiongozi wa serikali kwa nini CCM ndiyo inaalika watanzania?? Miaka yote Ubalozi ndiyo umekuwa ukialika watanzania kuonana na viongozi wa serikali. ANAKUJA KUONGEA KAMA KIONGOZI WA CCM??? AU KIONGOZI WA SERIKALI?? KOTE ALIKOPITA AMEFUNGUA MATAWI YA CCM. ISSUE NI KUWA WATU WENGI HAWANA INTEREST NA MIKUTANO YA VYAMA BALI WANAHAMU YA KUKUTANA NA VIONGOZI WA SERIKALI WATAKAOKUJA WAMEVAA NGUO ZA KISERIKALI NA SI NGUO ZA KIJANI WALA GWANDA LA KAKI NA KUTUSIKILIZA KAMA WATANZANIA NA SI KUSIKILIZA ISSUE ZA CHAMA KIMOJA
Heko umeongea kaka... Daima hatutaendelea hatupendi kubadilika.. ushabiki wa vyama hapa marekani unakusaidiaje wewe MTanzania? Tawi la CCM/ Chadema ? Linakusaidia nini kama siyo ushabiki ? Wote tunafahamu matatizo ya nyumbani sijasikia hawa viongozi wakiomba michango ya madawati... Mbona hatuoni WaKenya wakifungua matawi ya vyama? Wanakatiba mpya wenzetu tena inayomwakilisha kilaMKenya... Subirini usanii wa CCM wanaandika katiba yao kuhakikisha hawang'oki bila ya damu kumwagika Tanzania... Ndiyo CCM wanaipeleka nchi kuzimu... Tuache ubinafsi watu wanashida nyumbani na sisi tuko mbele tunajua nchi inatakiwa kuendeshwa vipi si kisanii kama serikali ya CCM:(... Mungu Ibariki Tanzania .
Nimesha hudhuria mikutano miwili na Raisi mwenyewe maswali lazima yatangulizwe kabla ya mkutano na yanachujwa. Maswali tumesha uliza sana vileo tumesha toa mambo ni yale yale.
I agree with the first guy, what are all these political party branches for? Do you really gain anything from it if living in UK or USA? Tuwe wakweli jamani haya maparty hayasaidii lolote. Ilani ya Uchaguzi ya 2010 CCM, inakusaidia nini wewe uliye Marekani?
Anyway if you have the resources and time, go for it, definitely not my cup of tea, I have other things to worry about.
Next week tunafunguwa Tawi la CUF. DMV.karibuni sana wa Tanzania.
Wana DMV karibuni katika ufunguzi wa tawi letu la Republicans kule Sengerema, Mwanza, Tanzania. Baada ya hapo tutafungua matawi mengine kule Somalia, Angola, Benin, Congo n.k..
Watu mna muda kweli wa kupoteza smdh.
hebu wtanzania tuamke.kwenye huu usingizi mm.nauita.wa ujinga.aHivi hayo matawi yanawasaidia nn kama sio upotezaji wa nguvu na pesa ambazo vyote hivyo vingrtumika.kusaidia kule nyumbani.ambako watu wanahitaji the most!!!!!!Hebu wacheni ussanii nchi inateketea kws upuuzi wa.watu wachache ambao ni greedy wenye kujali maslahi yao wenyewe na sio waliowapigia kura!!!!
Haaaaa aaaah na CUF Nao?????? DMV MWAKA HUU WETU NA VYAMA VYA SIASA. INGEKUWA KILA MWANA DMV ANA MOYO KAMA HUU TUKACHANGA HATA $10 TUNGEJAZA MADAWATI KWENYE SHULE WATOTO WANAKAA CHINI HUKO BONGO AU TUKASPONSOR WATOTO YATIMA KWENDA SEKONDARI!! MWEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE
Mimi naungana na Mh. hapo juu. Jamani kama ni kweli tunauchungu na nchi yetu basi ingekuwa vizuri tuungane tuweze kuanzisha chama cha kusaidia kuboresha maisha ya wadogo zetu walio shule ya msingi kama kupeleka madawati, vifaa vya michezo, computer zilizotumika ili waweze kujifunza na kupata elimu bora. Nadhani ili litakuwa jambo la msingi zaidi.
Wajibu wetu sio kukusanya pesa kusaidia shule na hospitali bali ni kuishinikiza serikali kuona kwamba pesa zinazotengwa kwa kila taasisi zinatumika kama zinavyotakiwa. Kwanini tutegemee misaada na michango Kila siku kuendesha serikali....haya ndio mambo hawa viongozi wanatakiwa kutueleza badala ya kuwapotezea watu muda kufungua matawi.
Kama mtu hana madevu anruhusiwa kuwa mwanachama wa CUF???????????
Kule Canada kuna movement ya saidia Zanzibar! Sisi wabara bado tumejawa na ubinafsi na uzumbukuku wa vyama! Kuna haja gani ya kuongea na Mwigulu wakati Rais alikuwa hapa wiki iliyopita lakini hatukuitwa kuongea nae? Kuongea si vibaya lakini Mwigulu si saizi yetu! Tunamaswali muhimu ya ujenzi wa katiba mpya, matumizi mabaya ya rasilimali za umma , wizi , mustakbali wetu wa uraia wa nchi mbili tungependa kupatiwa majibu na Rais siyo Mwigulu: ( Rais alifika ubalozini kupiga picha na watu! Jamani hatuna celebrities wa kutosha bongo mpaka tupige picha na Rais?
NIMEPENDA WATANZANIA USA WAMEFUNGUKA NA UPUUZI UNAONDELEA.
RAIS wetu tukimliza maswali atatujibu serikali aina uwezo wakuleta Mvua.
Post a Comment