Meza kuu ya wasimamizi wa uchaguzi ikiongozwa na Mchungaji mama Butiku pamoja na Prof Lwiza
Mchungaji mama Butiku ambaye alikuwa mwenyekiti wa uchaguzi huo akiongea juu ya utaratibu utakaotumika katika upigaji kura
Bwana Deogratius Mhella akijinadi mbele ya wanacommunity kabla ya uchaguzi, na kwa jinsi alivyojieleza ilitosha kuwavutia Watanzania wa New York kumchagua kuwa katibu mpya wa New York Tanzania Community atakayedumu kwa muda wa miaka miwili akisaidiwa na Dr Mariam Abu atakaeendelea kuwa kaimu katibu baada ya kushika nafasi ya pili katika uchaguzi huo.
Dr Mariam Abu ataendelea na wadhifa wa kuwa kaimu katibu mkuu safari akiwa mwana Deogratius kama katibu mkuu.
Bwana Hajji Khamis alitetea nafasi yake ya mwenyekiti wa New York Tanzania Community baada ya kupata kura nyingi na kuwabwaga wapinzania wake.
Bwana Chiume atakuwa msaidizi wa mwenyekiti bada ya kushika nafasi ya pili katika kinyanganyiro hicho cha uwenyekiti wa community.
Dr Temba akiwa na mweka hazina mpya Raphael Faida, Raphael amechagulikuwa kuwa mweka hazina mpya wa New York Tanzania Community baada ya kupata kura nyingi zaidi ya Dr Temba. Na sasa Dr Temba atafanya kazi pamoja na Raphael kama msaidizi wa wadhifa huo.
Watu wakiwa kwenye foleni baada ya kulazimika kurudia uchaguzi katika nafasi ya mwenyekiti kwani kura zilizopigwa zilikuwa nyingi kuliko hata watu walioudhuria uchaguzi huo. Ndipo mwenyekiti wa kamati ya uchaguzi mchungaji mama Butiku aliamua uchaguzi urudiwe kwa kusimama foleni na kila mtu arudishe karatasi yeye mwenyewe. Kwani kulikuwa na uchakachuaji katika nafasi hiyo.
Watanzania wakifuatilia kwa makini mkutano huo
Mchungaji mama Butiku mwenyekiti wa uchaguzi akimtangaza bwana Raphael kuwa mweka hazina mpya wa New York Tanzania Community.
Bwana Deogratius Mhella akicheza na mshabiki wake akfurahia ushindi wa bwana Mhella.
Mh Balozi akimpongeza bwana Hajji Khamis kwa kutetea kiti chake tena.
Viongozi wakiwa mbele na mwenyekiti wa uchaguzi mchungaji mama Butiku alivyokuwa anatangaza matokeo ya uchaguzi na washindi.
Mwenyekiti bwana Hajji Khmisi Kushoto katikati ni Katibu bwana Deogratius na kulia ni bwana Raphael mweka hazina.
Mchungaji mama Butiku akiwa na kamati yake ya uchaguzi pamoja na viongozi wapya
3 comments:
haya haya tena hongereni jamani kwa kuchukua nafasi zenu za kuisadia community ya kitanzania hapa NY basi muwe kama watu wa D.C kwa umoja wao na ushikano wao okay jamani.
kila la kheri
mdau yule yule NY
dah kijana Raphael Robert longtime mazee toka enzi za saint anthony sec mbagala...mzee wa mshono..unawakumbuka washkaji zako kina muba,maguhwa,konyaki,francis,etc....vp unarud lini bongo au ndo ushaukana uraia kijana....all d bst!
mdau st anthony
Beatiful event: respect,justice,and beneficience---moving forward until we get the righ leaders with inteligende and no uongo. chucki. wivu a na malumbano
Dr. Temba
Post a Comment