ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, September 19, 2013

OMMY DIMPOZ ATEMBELEA MAKAO MAKUU YA VIZION OONE

 Mkurugenzi  wa vizion one Inc  na  Giant enginnering Ltd Bwana  John  Sitta ambae ni mdhamini wa mambo mbali mbali hapa mjini  akiwa na Ommy dimpoz siku ya Jumatano Sept 18, 2013  ommy alipotembelea makao makuu ya  kampuni hizo Takoma, Washington, DC/
Kutoka kushoto ni John Sitta, Ommy Dimpoz na DMK 

No comments: