DIMPOZ AKIPATA UKODAKI NA PROMOTER WAKE "MR DMK" PAMOJA NA AKINA DADA WALIOKUWEPO KUMPOKEA KATIKA UWANJA WA NDEGE WA KIMATAIFA WA WASHINGTON DC.KULIA NI MLIMBWENDE ALIYEWAHI KUTWAA TAJI LA MISS TEMEKE NA KUSHOTO NI MLIMBWENDE MWINGINE KUTOKA TZ.
OMMY NDANI YA LIMO KUELEKEA HILTON.
LUNCH TIME AT THE HILTON.

OMMY DIMPOZ AKIWA NA DESIGNER MISS TEMEKE NA GAUNI LAKE LA KWETU FASHION.
kwa picha zaidi bofya soma zaidi
Ommy Dimpoz akiwa na mwenyeji wake DMK uwanja wandege wa kimataifa wa Dulles uliopo Sterling, Virginia mara tu alipowasili kwa ajili ya show Jumamosi Sept 21, 2013 DMV.itakayofanyika KAMA Lounge address ni 11472 Cherry Hiil Rd, Beltsville, MD 20705
Faraji Nyembo aka Ommy Dimpoz baada ya kuwasili Marekani jana na kupokelewa na wenyeji wake.Ommy Dimpoz anatarajiwa kufanya show ya kwanza Jumamosi ya wiki hii Washington DC, itakayofuatiwa na show ya pili Houston September 28 na show ya tatu Los Angeles October 5 kisha atarejea Tanzania kwaajili ya fainali ya Serengeti Fiesta.
PICHA KWA HISANI YA SWAHILITV BLOG
PICHA KWA HISANI YA SWAHILITV BLOG






No comments:
Post a Comment