Saturday, September 14, 2013

P SQUARE WADADISHA WASHINGTON, DC

Wadau wakipata picha ya pamoja kutoka kushoto ni Dj Banti, Peter wakiwa na mpiga picha wao
maporomota wa DMV kutoka kushoto ni Next LVL na DMK Global katika picha ya pamoja Ijumaa Sept 13, 2013 kwenye kiota cha LOVE kilichopo Okie St NE, Washington, DC. 
Bwn na Bi harusi Luther  na Esiday katika picha ya pamoja walipokutwa na camera ya Vijimambo
Mrs AJ Ubao (kushoto) akiwa na shosti wake
Mtu nyomi Love Club palikua hapatoshi

Juu na chini ni Paul akifanya makamuzi wakati P Square ilipofanya makamuzi Washington, DC kwenye Club ya Love iliyopo Okie St NE.

Peter akifanya makamuzi wakati P Square walipoiteka Washington, DC Ijumaa Sept 13, 2013 ndani ya Club ya Love iliyopo Okie St NE, Washington, DC


Paul akiendeleza makamuzi



Video ya P Square ilivyopagawisha Washington, DC
kwa picha zaidi bofya soma zaidi

 Washereheshaji

No comments: