Huyu ndiye Padre Ancelmo Mwang'amba wa Kanisa Katoliki Parokia ya Cheju Zanzibar aliyemwagiwa tindikali katika mgahawa wa Sun Shine uliopo Mlandege, Zanziabar mapema leo.
Zanzibar hapafai kaisaaaaa!!!! Jamani serikali isipiangalia jambo hili watakuja kuwamwagia mpaka hao hao wakuu wa nchi, Rais, Waziri na wabunge!!!! Jamani Zanzibar imeoza na inahadhiri Tanzania kwa ujumla! Udini, ukabila,uchafu na uiziiii umetawala sana Zanzibar! !!!! Zanzibar imejaaaa uchafu na ukurutu....
Zanzibar imechafuuuka!!!! Zanzibar imejaaaa uchafu,unajisi na udini!!!! Serikali inabidii ikemeeee vikaali sana tabia ya tindikaliiii!!! Zanzibar imechafukaaaaaaaaaaa!
Watu wajinga sana, kila tukio wanalinasibisha na udini kama vile wana uhakika na wanachokiandika. Mkiambiwa mlitolee ushahidi mnaweza mkafanya hivyo???!!! Au kwa sababu ni padre ndio maana mnasema hivyo?? Mnakomoana wenyewe kisha mnasingizia ugaidi. Nyie semeni tu kwamba kila tukio ni ugaidi, kama mnauombea subirini tu utakuja. Hiyo ni mizengwe ya kisiasa tu kwa ajili ya kuwashughulisha wananchi na uchaguzi.
5 comments:
Wapi tunaelekea jamani

AIBU AIBU AIBU huko Zanzibar wamejaa Alqaeda

Post a Comment