ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, September 18, 2013

TANGAZO LA SEMINA YA NENO LA MUNGU

KANISA LA ASSEMBLIES OF GOD - GLENMONT SILVERS PRING
TUNAKULETEA SEMINA YA NENO LA MUNGU ITAKAYOFANYIKA
TAR. 20-22/9/2013. MUHUBIRI NI MCHUNGAJI  E. MUNISI TOKA TZ.
 RATIBA YA SEMINA:
 1. Ijumaa - saa 12jioni hadi saa nne usiku.
 2. Jumamosi asubuhi saa 4:00asubuhi mafundisho maalum kwa wanawake na mabinti.
       - do - jioni saa 12:00 hadi saa 4:00 usiku itaendelea kwa wote.
3. Jumapili saa 8:00mchana hadi saa 12:00jioni - chakula kitakuwepo.

       WAIMBAJI The Mission Band toka Alabama wataimba kila siku.

NAMNA YA KUFIKA KWENYE SEMINA:
 Kwa wanatumia metrol buses toka Silver Spring panda Y5,Y8, Y7 na Y9.
 Pia panda C8 toka College Park na Ride ON namba 10. Yote shukia 
Glenmont Metrol isipokuwa ya Y yote kituo cha pili toka metrol. Na metrol
rail tumia RED LINE hadi Glenmont mwisho.

Kwa mawasiliano piga simu 240 604 2446240 408 9446 na 240 413 8291.
     WATU  WOTE  MNAKARIBISHWA  SANA.
Tangazo hili linaletwa kwenu kutoka kwa Revival Team Leaders:
  Mch. Malekela, Mch. Samson Ananiah na Mch. Stella Swai.

No comments: