TANZANIA YETU INASAFARI NDEFU SANA KUJA KUWA NA VIONGOZI WAHADILIFU
Unaweza kusema kuwa binadamu siyo malaika anamakosa na kasoro zake lakini hii imekaaje, Pitia picha hii na unaweza kuwa na opinion yako juu ya ulichogundua katika picha hii.
6 comments:
Anonymous
said...
Kwanza naona huyu ni Naibu Spika Mr Ndugai, Pili naona hapa alikuwa anapokea smg kutoka CCM jinsi yakuhujumu Katiba na tatu huu ni ujinga wa kidemokrasia kwani huyu bwana anshindwa kuelewa kuwa katiba ni ya watanzania includia falimia yake , babu , bib, mama, wajomba, dada, kaka, na wanakijij waliomlea HUU ni usaliti Bwana NDUGAI
Kiswahili kiswahili kiswahili..... Watanzania mnajivuna eti mnajuwa Kiswahili kuliko wote Afrika Mashariki... WAHADIRIFU ndio nini??? Hapo umetafsiri kwa Kidukuma au Kijitta?? Au ulimaanisha WAADILIFU mkuu?
HUYU HAPO ANASOMA UJUMBE KUTOKA KWA WAKUBWA WANAO RUN BUNGE. WANAOMWAMBIA CHA KUFANYA AKIWA BUNGENI . ZAIDI KUKANDAMIZA UPINZANI.---> LB LUKA WEKA MSG YANGU . HAWA VIONGOZI TAWALA WAMEZIDI KUNYANYASA WATU NA TABIA ZAO ZA KIMAFIOSO. SIMU HAZIRUHUSIWI BUNGENI SASA HUYU ANAYO YA NINI KAMA SIO KUPOKEA MESSAGE KUTOKA KWA VIGOGO ??????? Linda Bezuidenhout hapa.
6 comments:
Kwanza naona huyu ni Naibu Spika Mr Ndugai, Pili naona hapa alikuwa anapokea smg kutoka CCM jinsi yakuhujumu Katiba na tatu huu ni ujinga wa kidemokrasia kwani huyu bwana anshindwa kuelewa kuwa katiba ni ya watanzania includia falimia yake , babu , bib, mama, wajomba, dada, kaka, na wanakijij waliomlea HUU ni usaliti Bwana NDUGAI
Inabidi ajue nyumba ndogo ipi katayarishiwa mlo baada ya kazi ngumu.
Akiibuka maamuzi hayaeleweki. Labda ndio sababu ya Wabunge kutiana makonde??
Kiswahili kiswahili kiswahili.....
Watanzania mnajivuna eti mnajuwa Kiswahili kuliko wote Afrika Mashariki...
WAHADIRIFU ndio nini??? Hapo umetafsiri kwa Kidukuma au Kijitta??
Au ulimaanisha WAADILIFU mkuu?
HUYU HAPO ANASOMA UJUMBE KUTOKA KWA WAKUBWA WANAO RUN BUNGE. WANAOMWAMBIA CHA KUFANYA AKIWA BUNGENI . ZAIDI KUKANDAMIZA UPINZANI.---> LB
LUKA WEKA MSG YANGU . HAWA VIONGOZI TAWALA WAMEZIDI KUNYANYASA WATU NA TABIA ZAO ZA KIMAFIOSO.
SIMU HAZIRUHUSIWI BUNGENI SASA HUYU ANAYO YA NINI KAMA SIO KUPOKEA MESSAGE KUTOKA KWA VIGOGO ??????? Linda Bezuidenhout hapa.
Jamaa anasoma sms ya girlfriend wake
Du jamaa anaongoza bunge kwa kutext......na kweli sijui tunaenda wapi.........MAJANGA!
Post a Comment