Wahamiaji haramu waliokamatwa wilayani Mwanga wakiwa katika gari lenye tela.wakifikishwa makao makuu ya uhamiaji ya mkoa wa Kilimamnjaro mjini Moshi
Wahamiaji haramu waliokamatwa wilayani Mwanga wakiwa katika gari lenye tela.
Wahamiaji haramu kutoka nchini Ethiopia waliokamatwa eneo la Mwanga
wakitokea nchini Kenya.
Mmoja wa wahamiaji haramu raia wa Ethiopia aliyafahamika kwa jina la Jamal Amir akilia kwa uchungu baada ya kukamatwa na maofisa wa uhamiaji katika eneo la Mwanga.
Ni majonzi na masikitoko baada ya dili kubumburuka...
Mkuu wa uhamiaji mkoa wa Kilimanjaro Johanes Msumule akizungumza mara baada ya kukamatwa kwa wahamiaji haramu 18 kutoka nchini Ethiopia.
Mkuu wa uhamiaji mkoa wa Kilimanjaro Johanes Msumule akizungumza jambo na mmoja wa wahamiaji haramu aliyefahamika kwa jina la Jamal Amir mara baada ya kukamatwa wakiingia nchini bila kufuata taratibu.
Baadhi ya wahamiaji haramu wakilia kwa uchungu mara baada ya kukamatwa wakiingia nchini bila kufuata taratibu.
Wahamiaji haramu wakienda kunawa mikono na kipata chakula kilichotolewa na ofisi ya uhamiaji mkoa wa Kilimanjaro baada ya wengi wao kuonekana kudhoofika kutokana na kukosa chakula kwa muda mrefu.
Wahamiaji haramu wakipata chakula
(Picha kwa hisani ya Michuzi)
4 comments:
Utendaji huu wa kuwapata wahamiaji haramu tunaomba uendelee bila kukoma. Pia huko mjini mahoteli/guest house wanahifadhi wengi bila kuwajua kwani hakuna anayeulizwa kitambulisho. Utakuta mtu anakaa hotelini miezi tano haulizwi kitambulisho, ali mradi analipa. Hakuna anayejua kazi yake anatoka na kuingia. kaziwapi haijulikani. Uhamiaji kuweni wakali sana, tuwapate hawa Mashabab.
Pengine wangeliishia Zanzibar wakapewa vitambulisho vya ukaazi na vya kupigia Kura kwa uchaguzi ujao.
sasa na nyinyi mkija majuu nanyinyi pia tukukamateni siyo because wengi wenu mkoo huku majuu na mnaishi kiharamu na mara kusingizia wakimbizi wa kisomali na kiruanda na etc au mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu
Waondoleweeee kabisaaaa nchini hao hao ndo wanajeuka kuwa magaidi na kutuumiza sie wenyewe wananchi wa TZ. Zoezi hilooo liendelee Kila siku hakuna kuirudi nyuma.
Post a Comment