Hitmaker wa Tupogo Ommy Dimpoz,
baada ya kuzunguka Marekani na kuangalia kilichokuwa kinaendelea katika
record label zao, amesema kutokuwepo kwa mawasiliano kati ya record
label za Tanzania na zile za Marekani hufanya wasanii wabongo kushindwa
kufanya collabo na wasanii wa Marekani.
Mwanzilishi huyo wa Poz Kwa Poz amesema katika kipindi cha The
Jump Off cha 100.5 Times fm kinachoendeshwa na Jabir Saleh na Dj K_U saa
mbili usiku hadi saa nne kamili usiku.
“Ndio maana unakuta wasanii wengine wa hapa nyumbani wanashindwa kufanya collabo na wasanii wa nje kwa kuwa hakuna mazungumzo kati ya label mbili mwisho wa siku msanii anashindwa kufanya collabo,kwa hiyo kama tukiwa na label nzuri halafu zinajenga ushirikiano na label marekani basi muziki wetu utafika mbali’Alisema Ommy Dimpoz.” Amesema Ommy
Mkali huyo amegusia tofauti iliyopo kati ya record label za Tanzania na zile za Marekani hususani kwenye swala la mikataba .
“Kwanza naweza kusema kitu kimoja Tanzania hakuna label nzuri inayoweza kumpatia msanii mahitaji yote mazuri kama wanavyofanya marekani unakuta label nyingi za kule zinaposaini mkataba na msanii kwanza lazima wakupe dola million 200,nyumba na gari kwahiyo hivyo vyote vitarudi kutokana na wewe jinsi utakavyojituma katika kazi yako.”
Akiwa Marekani Ommy Dimpoz alipata nafasi ya kukutana na rapper wa West Coast ‘The Game’ na kupiga nae story.

1 comment:
Dolla million 200? Unawadanganya watu,msanii yupi ka-sign contract na label ikampa Dolla million 200?
Post a Comment