aisee ebu tuwekee details nyingine za gari kama ukubwa wa engine,horse power,na inatumia wese gani?na tuwekee gari imetembea umbali gani..hivyo ndio jinsi ya kufanya biashara,Alafu hiyo bei ni $ 2,100 Au $210???? Mdau DMV
Nissan Altima zinatengenezwa na kupatikana USA pekee yake. Hii model ni maalum kwa soko la ndani la Marekani, na huwezi nunua Europe au hata Japan unless uagize kutoka USA
We we unayetoa comment ni kwa sababu tu unataka challenge kwa huyu muuzaji. Kama huna pesa wala shida ya gari kaa kimya yupo mwenzako anauwezo kununua kwa bei hiyo.i did resaech on Kelly blue book value the car is value more than what he is asking.thank you for pretending that u live in German perhaps u don't even know what the German currency look like.
9 comments:
gari kama hii uk ni pound 300...
Hahahaha! Unaua mzee kwa hiyo ni dolar mia saba inamuhusu! Inakatisha tamaa shehe Sharifu
gari kama ilo hapa ujerumani ni kati ya euro 300-400.kweli USA used car ni expensive
Mdau Berlin.
aisee ebu tuwekee details nyingine za gari kama ukubwa wa engine,horse power,na inatumia wese gani?na tuwekee gari imetembea umbali gani..hivyo ndio jinsi ya kufanya biashara,Alafu hiyo bei ni $ 2,100 Au $210????
Mdau DMV
Ninayo altima ya 1996, 149000 miles. kama inawezekana kufanya swap niongezee na hela kidogo juu. 336 350 4765
Nissan Altima zinatengenezwa na kupatikana USA pekee yake. Hii model ni maalum kwa soko la ndani la Marekani, na huwezi nunua Europe au hata Japan unless uagize kutoka USA
We we unayetoa comment ni kwa sababu tu unataka challenge kwa huyu muuzaji. Kama huna pesa wala shida ya gari kaa kimya yupo mwenzako anauwezo kununua kwa bei hiyo.i did resaech on Kelly blue book value the car is value more than what he is asking.thank you for pretending that u live in German perhaps u don't even know what the German currency look like.
mdau hizi gari altima huku UK zipo na bei yake kwa hio hapo ni pound 300 - 400..haizidi hapo..duuh US kuna watu wanaendesha gari 1996 c mchezo!!
Nissan Altima haiuzwi Ulaya nzima, achilia mbali UK ni USA/Canada pekee yake hii model inapatikana. Acha kupotosha
Post a Comment