Mwanamke anayejiamini huonekana wa Tofauti katikati ya wanawake wengi...Silaha pekee kubwa anayopaswa kuivaa mwanamke yoyote ni CONFIDENCE...Mwanaume anapoangalia Sifa za nani anapaswa kuwa ubavu wake anaangalia kwanza Sifa Hii...Utashangaa wenzio wote wanawezaje na wewe unashindwa nini,Jibu ndio hilo Makalio Makubwa bila Confidence ni sawa na Al Shabaab bila Silaha...Inashangaza mwanamke na akili zake anapoteza muda,anajivunia Shape,''Oh nimebarikiwa,Nimejazia,Nna shape ya Ukwee' wakati kichwani zero ana akili za moto kama uji wa ulezi.
Hayo Makalio zaidi ya kukalia makochi yangu na kuyazeesha Mapema kwa uzito usio na Maana kuna lipi la zaidi yataniongezea kwenye maisha yangu Labda kama nna mpango wa kufungua bendi ya Baikoko nyumbani kwangu.
Only Cheap girls hukazana kuonyesha jinsi gani Makalio ni dili na kuyatumia kama Kigezo cha kukamata Wanaume Cheap.Mwanaume anayekuwa moved na Mwanamke mwenye Makalio makubwa kama Kigezo pekee lazima akili yake ina ujauzito wa miezi 10 na lazima azae Kibwengo.
A Confident woman is an Asset, An Ass-oriented woman is an asshole!...Umeshawahi kujiuliza kwanini kila wakipiga picha wanaposti Facebook huku wameguza Makalio yao??They are Cheap Girls hunting for CHEAP MEN...Be A Different Woman...Be Confident
9 comments:
THANK YOU for this post maana kuna mburulaz wanapenda sana kutusema siye wenye flat butts. wamekaa wanajisifia wana shepu wakati maisha yao ya kubahatisha. marekani hii si ya kujisifia shepu
Kizuri kinajiuza kibaya cha jitembeza.huna haja ya kubana matako,kuroga,au kujichubua nk .basi hayo makalio yawe makalio basi wengine kama wamebandika mifuko ya pumba/michelini.wanawake class wametulia kimya wanafanya vitu vyao hawana kelele.
Hiyo confidence wataitowa wapi wakati kila kitu ni FEKE!! Fake eyelashes, fake hair, fake bobs, fake nails, fake skin color, hata yaho makalio yeyenyewe ni fake. So lazima watafute "fake/cheap" men couse that's what they can afford to keep you know to take of organic/natural products need money and only real men with real money can afford them :):)
Flat butts mlie 2! Kitu ktk blue jeans kimetuli, top down. Yaani God haku-rush wakati anaumba. Kwa hiyo acheni wivu. Vaeni gauni make ukivaa jeans itadondoka, labda utumie suspenders!
Oops!!!
Umeongea ukweli mtupu; na umenifurahisha sana na hii sentensi "Mwanaume anayekuwa moved na Mwanamke mwenye Makalio makubwa kama Kigezo pekee lazima akili yake ina ujauzito wa miezi 10 na lazima azae Kibwengo".
Umenifurahisha sana Mr.Dj this is huu ni ukweli kama wewe ni mzuri au unamakalio mazuri let others see you and tell you because not everyone is looking for that no wonder wengi hawana waume au hata relationship ya kueleweka wamezoea kujiita Total package or bootylious when every thing they have is fake,fake hair,fake skin(mkorogo mwingi) fake eye lashes,wear colour contact,fake nails even the stuff they carry like bags,or shoes or clothes are fake,Total package itakuwa wewe watu wamekwenda shule haswa haswa not some little diploma,have great life,great jobs,kids and husband,house,looking natural beauty those are total parkage not makalio.
Hii blog ni vizuri ikawa inatoa mafundisho kama haya. Kwa kweli yaliyosemwa hapa ni kweli tupu, na atayesoma haya ayatie akilini si wanawake wala wanaume. Na ikibidi amwambie na mwenzie. Ni bora story za Wema Sepetu na Diamond zipungue au zisiwepo kabisa ili tupate vitu kama vitu. Na ukiangalia hata mastaa wengi wake zao hawana makalio makubwa na ingekuwa ni kigezo kikubwa basi tungeshuhidia kwa hilo.
Asanteni,
Mdau.
MMmmmmmhhhhh jamani kila mtu amshukuru mungu kwa kutupa uhai, na bila kilema. THAT IS ALL IM THANKFUL EVERY MORNING nikiona watu wengine wenye hitilafu za mwili wanavyoteseka. Nyie watu mwogopeni mungu be thankful with what you have. Makalio or no makalio watu watayaona tuu kama umeumbika hata ukivaa gunia utavutia na wale waliojaaliwa natural beauty sio wengine wamebadilika yule uliyemkuta marekani 2000 mbantu na ngozi yake nzuri sasa hivi mwarabu au utadhani bibi yake mzungu, mikorogo mabinti itawauwa mnatafuta magonjwa maana scientifically anything bleach your skin lazima iwe dangerous agent or cancerous agent. Utapendeza sasa ngojea makunyanzi yaanze ukifika miaka 50 wewe hutojiangalia kwenye kioo. Lets praise Lord for his blessings than talking nonsense.
This pretty much summed what I have been telling mademu wa bongo. Lakini ukiangalia vizuri lack of self confidence goes with low self esteem. Utakuta demu lina bwana lakini all she does is kujibinua aonekane ana matako makubwa na mkorogo wa nguvu starving for attention from man. Halafu mademu wa bongo ni waongo wa kutupwa kama trash cans. Kama wale twins walioko Dar. Kwao kila mtu mweusi tiiiii ila wao weupe fake ka mafanesi.
Post a Comment