ANGALIA LIVE NEWS

Monday, November 4, 2013

RAIS KIKWETE AAGA MWILI WA JAJI HILARY MKATE

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitoa heshima za mwisho kwa Marehemu Jaji Mstaafu Hilary Mkate leo Novemba 4, 2013 Kinondoni Dar es salaam
Rais Jakkaya Kikwete akimfariji Mwenyekitio wa Tume ya Uchaguzi Jaji Mstaafu Damian Lubuva baada ya kuaga mwili wa marehemu Jaji Mstaafu Hilary Mkate leo Novemba 4, 2013 Kinondoni, Dar es salaam PICHA NA IKULU

No comments: