ANGALIA LIVE NEWS

Monday, November 4, 2013

Watendaji wa lalamikiwa kwa kushindwa kutekeleza mipango ya serikali

Baadhi ya wabunge wamesema tatizo kubwa la utekelezaji wa mipango ya maendeleo linaloikabili Tanzania linatokana na watendaji kushindwa kutekeleza mipango iliyoandaliwa na serikali.

No comments: