ANGALIA LIVE NEWS

Monday, November 4, 2013

Wanafunzi wa kidato cha nne waanza mitihani.

Mitihani ya wanafunzi wa kidato cha nne imeanza kufanyika nchi nzima huku mahudhurio ya wanafunzi kwa baadhi ya shule za jijini Dar es Salaam yakionekana kuwa hafifu.

No comments: