Marehemu Hawa Haji Kamanga |
Kisomo cha kumuombea Mama Hawa Haji Kamanga kitafanyika kesho (Jumamosi 11/23) kwenye msikiti wa MASJID EXPO uliopo kwenye kona ya Westheimer na Hayes. Msikiti upo kwenye shopping center ya Fitness Connection. Kisomo kitaanza saa kumi na moja jioni (5:00 pm).
Mara baada ya kisomo cha msikitini shughuli itahamia Ukumbi wa Safari kwa ajili ya chakula na vinywaji kuanzia saa kumi na mbili jioni mpaka saa tatu usiku (6pm to 9pm).
Anwani ya Safari ni 7601 De Moss Dr, Houston, TX 77036. Tunaomba Vyakula na vinywaji vipelekwe moja kwa moja ukumbini Safari.
Asanteni
No comments:
Post a Comment