Jessica Mushala akiongea machache siku ya Shine with Shina Annual Gala 2013 iliyofanyika siku ya Jumamosi Novemba 9, 2013 Holiday Inn Hotel iliyopo Baltimore Ave, College Park, Maryland na kuhudhuriwa na watu mbalimbali.
Jessica Mushala akipata picha ya pamoja na mmoja ya wageni waliohudhuria Shine with Shina annual Gala 2013 siku ya Jumamosi Novemba 9, 2013.
Wapili toka kulia ni Bwn. Amos Mushala mume wa Jessica ushala akisalimiana na wageni wallihudhuria Shine with Shina Annual Gala iliyofanyika siku ya Jumamosi Novemba 9, 2013.
Jessica Mushala katika picha ya pamoja.
Kikundi cha ngoma cha utamaduni wakitoa burudani siku hiyo.
kwa picha zaidi boya soma zaidi
No comments:
Post a Comment