ANGALIA LIVE NEWS

Monday, November 4, 2013

RAIS DKT JAKAYA KIKWETE APOKEA HATI YA UTAMBULISHO KUTOKA KWA BALOZI MTEULE WA VIETNAM

 Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akipokea hati za utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule wa Vietnam hapa nchini Mheshimiwa Vo Thanh Nam huko Ikulu hapa Dar es Salaam tarehe 4.11.2013.  Rais Kikwete baadaye anaonekana akifanya mazungumzo na Balozi huyo. 
Wakiwa katika mazungumzo. PICHA NA JOHN LUKUWI

No comments: