Kuna pendekezo limetolewa kuhusu uwezekano wa abiria kuruhusiwa kutumia simu zao za kiganjani kuongea wanapokua angani kwenye ndege, wasiwasi uliopo ni simu inaweza kuwa kero kwa abiria mwingine. Watu wengi hawajui kuongea kisstaraabu na pia simu hiyo inaweza haharisha usalama wa ndege kwa kutumia kama limoti ya mlipuko.
No comments:
Post a Comment