Mimi ni mdada mwenye umri wa miaka 27.Nina uhusiano wa kimapenzi na mwanaume mwenye umri wa miaka 33 kwa muda wa miezi mitano sasa.
Tatizo langu ni kuwa kila tufanyapo mapenzi huwa nashikwa na chafya kali sana.Chanzo chake ni kwapa ya mpenzi wangu ..
Nashindwa kuelewa tatizo ni nini maana kwenye suala la usafi sijaona kama ni tatizo kwake.Kabla ya tendo huwa tunaoga pamoja na humsugua sana tu..
Tukishafika kitandani kwapa hutoa harufu utadhani hajaoga mwezi mzima, yaani hata hamu ya tendo huniishia, kuziba pua nashindwa, nikihofia kwamba atanielewa vibaya.Kwa hiyo huwa navumilia tu ili mradi amalize hamu yake...
Jamani, naombeni msaada ili uhusiano wangu usivunjike maana bado nampenda mpenzi wangu.
Maadam A.
5 comments:
Mamy kaka Luke Leo umeota Matako? Naona post zote zina Prichard za makalio makubwa..
mwache atumie ndimu kila akimaliza kukoga ajisuguelie kwapani
Kama kweli huyu ni mpenzi wako na unampenda, kwanini usimwambie??? kama uhusiano wenu ni wa kougopa kuambiana ukweki basi humpendi mwenzio, ama nyote hampendani, mnapotezeana muda tu. Mapenzi ni ukweli. Elezaneni yaliyomo mioyoni mwenu. Mwambie kwa upole tu atakuelewa na ataanza kutumia diodorant
Jamani Mimi nauliza ulishawahi kutumia DIODORANT???
jarib kutumia deodorant ya nivea apake kwapan anavotoka kuoga! Pole sana dada usimbwage endelea kumpenda na yy hapend hyo hali
Post a Comment