Watuhumiwa 11 wanaodaiwa kujihusisha na vitendo vya ugaidi wilayani Kilindi wametiwa mbaroni na jeshi la polisi kwa kushirikiana na Mitandao ya usalama ya kimataifa baada ya kubainika kuwa wametoroka kutoka katika kambi moja ya mazoezi na kukimbilia kambi nyingine.
No comments:
Post a Comment