ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, November 21, 2013

WAZIRI WA FEDHA NA UCHUMI DK MGIMWA ALAZWA MILLPARK HOSITAL AFRIKA KUSINI..

Dar es Salaam, Tanzania. Taarifa zinaeleza kwamba Waziri wa Fedha na Uchumi, Dk William Mgimwa amelazwa katika Hospitali ya Millpark ya nchini Afrika Kusini ktokana na afya yake kutokuwa salama.

Kuhusiana na suala hilo, Naibu Waziri wa Fedha na Uchumi, Saada Mkuya amesema Dk Mgimwa amelazwa Afrika Kusini na kwamba sasa hali yake inaendelea vizuri.

1 comment:

Anonymous said...

Kwa hiyo hospitali zetu no one cares bcoz wakiumwa wakuu wa wizara au idara nyeti..wanakimbizwa nje ya nchi kwa hela za wavuja jasho lakini mvuja jasho akiumwa anapelekwa kwa dakitari asiye na mshahara wa kutosha na hospitali isiyo na hata vifaa vya kufanya basic duagnosis. Huu ni ukoloni mambo leo au utumwa mambo leo?????? Sawa tunakutakia tiba njema ila rekebisheni mambo huko. Mkiona madaktari wanagoma msiwe wakatili, fanyeni utafiti wkina kuangalia cost & benefits za hi i gharama za kuwanufaisha wachache. In the llong run we the ordinary people pay ghe cost and suffer...thank you.mdau, massachusetts.